1.UKWELI KUHUSU WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI
Ulemavu wa ngozi ni hali ambayo huweza kurithishwa toka kizazi kimoja hadi kingine, huweza kupotea na pia hali hiyo yaweza kubaki katika ukoo au familia....Read more..
2. UMUHIMU WA RUFAA KWA WATUMIAJI WA HUDUMA YA PITC KWA WATU WENYE MAAMBUKIZIYA VIRUSI VYA UKIMWI
Fomu ya rufaa ni fomu ambayo baada ya kupima VVU na kugundulika kuwa ana VVU mgonjwa atajaza fomu maalumu ya kumpeleka kwenye kliniki atakayo pata huduma na tiba zaidi Fomu hiyo..Read more....
3.MATUNZO KWA WATU WENYE ULEMAVU WANAOISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI
Matunzo kwa watu wenye ulemavu wanaoishi na VVU na UKIMWI ni mambo mbalimbali yakuwafariji na kuwasaidia wasipate taabu zaidi ya maradhi waliyonayo vitu hivyo ni kama...Read more...
5.VIRUS LIFE CYCLE.
Viruses are similar to living organisms, however there are differences. One of the ways a virus can be seen as living is that a virus needs to replicate and enter a host cell. However, unlike organisms, a virus cannot survive on its own. Read More...
6.FAHAMU KUHUSU T.B
Kifua kikuu au "TB" ni ugonjwa unaosambazwa. Ugonjwa huu husababishwa na aina mbalimbali za vimelea aina ya bacteria .Kifua kikuu kwa kawaida kinaathiri mapafu lakini pia kinaweza kuathiri sehemu nyingine za mwili. Read more....
7. VITUO VYA AFYA
Afya ni muhimu kwa kila mtu ,na ni vyema kila mtu akawa anafahamu vituo mbali mbali vya kutolea huduma za kiafya ili kujilinda kila wakati na popote utakapokuwa .
Watu wengi wanafahamu vituo vya afya vilivyopo karibu yao tu lakini ni vyema kujua vingine zaidi.Kwa kupitia maelezo haya utagundua vituo mbalimbali vya afya na namna ya kupata huduma kutoka katika vituo hivyo .Vituo hivyo ni kama kituo cha afya Mbagala,kituo cha afya Chanika,Temeke Zahanati Kawe ,Zahanati Bunju ,Mwenge .Soma zaidi.....
8. TOHARA KWA WANAUME
Tohara kwa mwanaume ni upasuaji mdogo unaohusisha uondoaji wa ngozi inayofunika kichwa cha uume
Tafiti za kisayansi zinaonesha kuwa tohara ya wanaume hupunguza uwezekano wa maambukizo ya VVU kwa asilimia 60, Soma zaidi....
9.WAJIBU WA WATOA HUDUMA YA AFYA
Wajibu wawatoa huduma ya Afya kwa watu wenye ulemavu katikakuzuia maambukizi ya VVU Soma zaidi...